Moalin aahidi Yanga mpya dhidi ya Coastal Union

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 May 2026
Moalin aahidi Yanga mpya dhidi ya Coastal Union

Kocha Mkuu wa Yanga Abdilhamid Moalin amesema kikosi chake kiko tayari kwa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Coastal Union ambao utpigwa kesho Jumamosi, May 09 katika uwanja wa KMC Complex.

Akizungumza katika mkutano na wanahabar kuelekea mchezo huo, Moalin amesema vijana wake wako tayari, leo wakitarajiwa kukamilisha maandalizi yao ya mwisho.

Moalin amesema wanahitaji kushinda mchezo huo hivyo wachezaji wake watakwenda kuipambania nembo ya Yanga na kuhakikisha wanaondoka na alama tatu.

"Tunafahamu umuhimu wa mchezo huu kwetu, jambo jema zaidi ni kuwa wachezaji wetu wanafahamu matarajio ya mashabiki wetu."

"Tunahitaji kutetea taji la ligi kuu lakini malengo yetu tunayaelekeza kwenye mchezo ulio mbele yetu, kuchukua alama tatu."

"Yanga ni timu kubwa, tumechukua ubingwa wa ligi kuu kwa misimu minne mfululizo, hivyo tunapoingia uwanjani lazima tuonyeshe ukubwa huo."

"Nawahakikishia mashabiki waa Yanga kesho watarajie kuona timu yao ikishambulia kwa muda mwingi, tunataka kumiliki mchezo na kuwapa wakati mgumu wapinzani wetu kwa muda wote wa mchezo," alisema Moalin

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’