Kipindi cha Yanga TV kinaruka leo Azam Sport 2 kuanzia saa moja kamili jioni. Kipindi cha leo sio cha kukosa.
Miongoni mwa mambo yatakayojadiliwa leo ni Maandalizi kuelekea Mkutano Mkuu wa Wanachama, Masuala ya usajili lakini pia hatma ya Yanga kushiriki michuano ya kombe la Kagame inayotarajia kuanza Juni 29, 2018.
Leo baadhi ya Magazeti yameandika habari kuwa uongozi wa Yanga umeandika barua kwa TFF/CECAFA ukiomba ujitoe kwenye mashindano hayo.
Ukweli wa jambo hilo utafahamika kwenye kipindi hicho kitakachoruka hewani kuanzia saa moja kamili jioni na kurudiwa kila Jumapili, saa nane kamili mchana

ADVERTISE HERE