Jumatano, May 06 uwanja wa KMC Complex wenyeji KMC wataikaribisha Yanga katika mchezo wa ligi kuu ya NBC.
Ni dabi nyingine kwa Wananchi dhidi ya KMC timu zote zikitumia dimba la KMC kama uwanja wa nyumbani.
KMC wametangaza viingilio vya mchezo huo utakaopigwa saa 10 jioni.

ADVERTISE HERE