Uongozi wa klabu ya Yanga umetuma salamu za rambi kufuatia kifo cha mwigizaji mkongwe wa filamu nchini, Hashim Kambi.
Kambi amewahi kuitumikia klabu ya Yanga akiwa mchezaji kabla ya kuhamia kwenye masuala ya sanaa na uigizaji wa filamu.
"Tunatoa pole za dhati kwa familia ya marehemu, Baraza la Sanaa la Tanzania (BASATA), wadau wa mpira wa miguu, Shirikisho la Filamu Tanzania, wasanii wa filamu, pamoja na ndugu, jamaa na marafiki wote walioguswa na msiba huu," taarifa ya Yanga ilibainisha.

Mwenye ez Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema, peponi AMEN..
ADVERTISE HERE