Kikosi cha timu ya vijana ya Yanga chini ya umri wa miaka 20 kimepangwa kundi A kwenye michuano ya Uhai Cup.
Michuano hiyo inahusisha vikosi vya timu za vijana (U-20) vya timu zilizoshiriki ligi kuu ya Vodacom msimu uliomalizika.
Michuano hiyo inatarajiwa kuanza keshokutwa, Juni 09 mkoani Dodoma.

ADVERTISE HERE