Kiungo Duke Abuya amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa Yanga kwa mwezi March 2026.
Abuya ameshinda tuzo hiyo inayodhaminiwa na NIC baada ya kuonyesha kiwango bora katika mwezi huo pia akipigiwa kura nyingi na mashabiki wa Yanga.
Licha ya kucheza maeneo tofauti, Abuya ni miongoni mwa wachezaji waliotoa pasi nyingi za mabao kwenye ligi akiwa na asisti 5.

ADVERTISE HERE