Yanga yahusishwa na Akaminko

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Apr 2026
Yanga yahusishwa na Akaminko

Inaelezwa klabu ya Yanga imeanza mchakato wa kumnasa kiungo wa Azam Fc raia wa Ghana, James Akaminko ambaye mkataba wake unaelekea ukiongoni.

Hii haitakuwa mara ya kwanza Yanga kujaribu kumnasa Akaminko ambaye licha ya mkataba wake kuelekea mwishoni, bado hajasaini mkataba mpya.

Wakati wa sakata la usajili wa Feisal Salum kwenda Azam Fc, Yanga ilituma ofa kuwataka Akaminko na Kipre Junior ambaye kwa sasa anaitumikia klabu ya MC Alger.

Kwa nyakati zote Azam Fc haijawa tayari kumuachia Akaminko lakini wakati huu mambo yanaweza kuwa tofauti kwa kuwa mchezaji mwenyewe ameonyesha utayari wa kuondoka klabu hiyo aliyoitumikia kwa misimu minne.

Kama Yanga itafanikiwa kumnasa Akaminko, ni wazi itaachana 'mzima' na kiungo Moussa Balla Conte ambaye ametolewa kwa mkopo klabu ya Raja CA.

Yanga pia inatarajiwa kumsajili moja kwa moja kiungo mzawa Mohamed Damaro Camara ambaye kwa sasa anawatumikia mabingwa hao wa nchi kwa mkopo akitokea klabu ya Singida BS.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
3h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
7h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
12h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
12h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’