Depu bado kidogo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 Apr 2026
Depu bado kidogo

Kikosi cha Yanga leo kinaelekea jijini Mwanza tayari kwa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Pamba Jiji uliopangwa kupigwa Jumatano, April 08 katika uwanja wa CCM Kirumba.

Katika mchezo huo huenda Yanga ikaendelea kumkosa mshambuliaji wake Laurindo Aurelio 'Depu' ambaye bado anaendelea kuimarika baada ya kupona majeraha.

Depu na mshambuliaji mwenzake Prince Dube walikosa mchezo uliopita dhidi ya Tanzania Prisons licha ya kuwa tayari wameanza mazoezini.

Wakati Dube akiwa uwezekano wa kurejea kuikabili Pamba Jiji, Depu anatarajiwa kukosekana katika mchezo huo na pengine huenda akarejea katika mchezo wa kombe la CRDB dhidi ya TMA ambao utapigwa April 11.

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe amesema Depu bado hajawa fit kwa asilimia 100

Yanga inazihitaji alama zote tatu dhidi ya Pamba Jiji ili kuendelea kujiimarisha kileleni na kuweka hai malengo ya kutetea ubingwa kwa msimu wa tano mfululizo.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’