Michuano ya klabu bingwa Afrika Mashariki na Kati inayotambulika kama Kagame Cup inatarajia kuanza jijini Dar es salaam Juni 28, 2018.
Michuano hiyo itashirikisha timu 12 zilizogawanywa kwenye makundi matatu. Vilabu vya Yanga na Simba vimepangwa kundi moja.
Kundi A
JKU (ZAN)
Azam FC (TAN)
Kator (S.SUD)
Uganda Rep
Kundi B
Ports (DJI)
Lydia (BUR)
Rayon Sports (RWA)
Gor Mahia (KEN)
Kundi C
Yanga (TAN)
St George (ETH)
Simba (TAN)
Dakadaha (SOM)
Ratiba

Michuano hiyo itafanyika kwenye viwanja vya Azam Complex Chamazi na uwanja wa Taifa

ADVERTISE HERE