Kocha Msaidizi wa Yanga Abdulhamid Moalin tayari yuko nchini ambapo leo alikuwa sehemu ya waliofika TFF Kigamboni kushuhudia mashindano ya kusaka vipaji Yanga Soccer School.
Moalin ametua kumuongezea nguvu kocha Pedro Goncalves katika benchi la ufundi ili kuhakikisha malengo ya Yanga kutetea ubingwa wa ligi kuu kwa msimu wa tano mfululizo na kombe la CRDB yanakamilika.





ADVERTISE HERE