Nsajigwa aondoka Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Jun 2018
Nsajigwa aondoka Yanga
Kocha Msaidizi wa Yanga Shedrack Nsajigwa ameachia nafasi hiyo baada ya mkataba wake kumalizika.

Tangu kujiuzulu kwa aliyekuwa kocha wa Yanga George Lwandamina, benchi la ufundi la Yanga lilikuwa chini ya kocha Noel Mwandila akisaidiana na Nsajigwa.

Hata baada ya kuajiliwa kwa kocha mpya Mwinyi Zahera, wawili hao wameendelea na majukumu yao muda wote ambao Zahera alikuwa akiitumikia timu ya Taifa ya DRC kama kocha msaidizi.

Kocha wa Kagera Sugar Mecky Mexime ndiye anayetajwa kuchukua mikoba ya Nsajigwa aliyepandishwa kutoka kikosi cha pili cha Yanga tangu kuondoka kwa Juma Mwambusi msimu uliopita
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
4h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
8h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
13h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
13h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’