Maandalizi ya mwisho kabla ya kuifuata Tanzania Prisons

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Mar 2026
Maandalizi ya mwisho kabla ya kuifuata Tanzania Prisons

Kikosi cha Yanga kimekamilisha maandalizi ya mwisho uwanja wa KMC Complex kabla ya kuelekea mkoani Dodoma kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Tanzania Prisons.

Tanzania Prisons na Yanga zitaumana siku ya Alhamisi March 12 katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Jamhuri.

Bodi ya ligi imethibitisha mchezo huo utapigwa Dodoma licha  ya taarifa zinazodai kuwa Tanzania Prisons wako mkoani Tabora wakitarajia mchezo huo kupigwa uwanja wa Ali Hassan Mwinyi.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’