Hat trik ya kwanza kwa Depu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Mar 2026
Hat trik ya kwanza kwa Depu

Mshambuliaji wa Yanga Laurindo Aurelio 'Depu' jana aliondoka na mpira katika mchezo wa hatua ya 32 bora kombe la CRDB dhidi ya Polisi Tanzania baada ya kufunga mabao matatu wakati Yanga ikiibuka na ushindi wa mabao 7-1.

Hiyo ni hat-trik ya kwanza kwa Depu tangu alipojiunga na Yanga kwenye usajili wa dirisha dogo Januari 2026.

Mshambuliaji huyo wa Kimataifa wa Angola sasa ameifungia Yanga mabao 10 katika mashindano yote.

Amefunga mabao matano kwenye ligi kuu ya NBC, amefunga mabao mawili ligi ya mabingwa (CAFCL) na sasa amefunga mabao matat kombe la CRDB. Ama kwa hakika, Depu ni balaa jipya Yanga...!

Download Xtra 90 App

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
2h ago
READ MORE β†’
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
14h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
18h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
22h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
23h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1d ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’