Dube aongoza orodha vinara wa mabao Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 Mar 2026
Dube aongoza orodha vinara wa mabao Yanga

Baada ya kucheza mechi 12 kwenye ligi kuu ya NBC mpaka sasa, Yanga inaongoza msimamo ikiwa na alama 32 lakini pia wananchi wanaongoza katika takwimu nyingine za mabao ya kufunga na timu iliyoruhusu mabao machache zaidi.

Mabao 30 yametumbukia kweny nyavu za timu pinzani huku wakiruhusu mabao mawili tu kutikisa nyavu zao.

Prince Dube anaongoza orodha ya vinara wa mabao kwenye kikosi cha Yanga akiwa amefunga mabao 6, akifuatiwa na Laurindo Aurelio aliyeweka kambani mabao 5.

Licha ya kuanza msimu kwa kusuasua kutokana na changamoto za majeraha, Mudathir ameendeleza rekodi yake ya kuzifumania nyavu kama afanyavyo kila msimu jana akifikisha mabao 4 baada ya kufunga kwenye ushindi wa Yanga wa mabao 3-0 dhidi ya Singida BS.

Maxi Nzengeli, Mohamed Hussein na Andy Boyeli (amehama) kila mmoja amefunga mabao 2 wakati Celestin Ecua (JSK), Duke Abuya, Damaro, Shehan, Okello na Kouma kila mmoja akiweka kambani bao 1.

Yanga na Azam Fc ndio timu pekee ambazo hazijapoteza mchezo kwenye ligi mpaka sasa zikitarajiwa kuchuana katika mchezo wa dabi ya Mzizima, March 15.

Download Xtra 90 App

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
3h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
7h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
8h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
18h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1d ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’