Kikosi cha Yanga kimeondoka jijini Dar es salaam kuelekea mkoani Singida ambako wanakabiliwa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Singida Black Stars utakaopigwa Jumanne, March 05 dimba la Airtel.
Wananchi wameondoka na usafiri wa treni hadi mkoani Dodoma ambako wataunganisha kwa basi kuelekea Singida.






ADVERTISE HERE