Wametumia nguvu kubwa lakini wameshindwa - Kamwe

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Mar 2026
Wametumia nguvu kubwa lakini wameshindwa - Kamwe

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe amesisitiza kuwa licha ya nguvu kubwa ambayo Simba walitumia kuelekea mchezo wa dabi ya Kariakoo uliopigwa Zanzibar jana na kumalizika kwa suluhu ya bila kufungana, bado Simba hawajaweza kumaliza rekodi ya kutopata ushindi mbele ya Yanga ukiwa ni mchezo wa saba mfululizo.

Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii, Kamwe amebainisha matukio yaliyojitokeza kuelekea mchezo huo ambayo yalifanywa na Simba kuwa ni kielelezo watani zao hao bado wana safari ndefu kuweza kupata ushindi mbele ya Yanga.

Akizungumzia tukio la goli linalolalamikiwa na Simba, Kamwe amesema ni wazi mshambuliaji Suleiman Mwalimu aliunawa mpira awali lakini waamuzi wakaacha mchezo uendelee.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’