Kituo kinachofuata ni Singida BS

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Mar 2026
Kituo kinachofuata ni Singida BS

Mchezo dhidi ya Simba umemalizika na Wananchi wameweka kapuni alama moja muhimu ambayo inaweza kuchangia pakubwa katika mkakati wa kutwa ubingwa wa ligi kuu kwa msimu wa tano mfululizo.

Yanga haina muda wa kupoteza kwani mwezi huu March inakabiliwa na ratiba ya mechi ngumu ambazo zitapigwa ndani ya muda mfupi.

Kwa hakika wiki hizi mbili zinazofuata zinaweza kuamua nafasi ya Yanga kuelekea ubingwa wa 32 ligi kuu ya Tanzania Bara.

March 05 Yanga itakuwa uwanjani mkoani Singida kuikabili Singida Black Stars na kisha Wananchi kurejea Dar es salaam kuikabili Polisi Tanzania kwenye mchezo wa kombe la CRDB hatua ya 32 bora unaotarajiwa kupigwa uwanja wa KMC Complex March 08.

March 12 Yanga itakuwa Mbeya kumenyana na Tanzania Prisons kisha kurejea jijini Dar es salaam kumenyana na Azam Fc March 15.

March 18 huenda ikasafiri mkoani Arusha kuikabili TRA United ambayo imetangaza rasmi kuhamia mkoani humo. Baada ya mchezo huo Yanga itaelekea mkoani Dodoma kuikabili Mtibwa Sugar March 21.

Mkufunzi wa Yanga Pedro Goncalves ni wazi atalazimika kufanya 'rotation' ya kikosi chake kukabiliana na ratiba hiyo inayofuata mbele yake.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
1h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
1h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
4h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
19h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
23h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’