Yanga imetangaza viingilio vya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Simba 'Damaro Day' ambao utapigwa Jumapili March 1 katika uwanja wa New Amaan Complex.
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe amewataka mashabiki kuchangamkia tiketi mapema ili kuhakikisha wingi wao unatawala dimba la Amaan siku ya Jumapili.

ADVERTISE HERE