Dabi ni ya Damaro

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Feb 2026
Dabi ni ya Damaro

Baada ya ushindi mnono wa mabao 5-0 dhidi ya JKT Tanzania, kituo kinachofuata kwa Yanga ni watani zao Simba.

Ni mchezo wa dabi ya Kariakoo namba 54 utakaopigwa Jumapili March 1 katika uwanja wa New Amaan Complex.

Hivi karibuni klabu ya Simba iliandika barua TFF kuhoji uhalali wa uraia wa kiungo Mohamed Damaro Camara ambaye msimu uliopita akiwa Singida BS idara ya Uhamiaji ilimtangaza kupata uraia wa Tanzania.

Sasa Wananchi wamemkabidhi Damaro dabi hiyo ya kwanza kwenye ligi msimu huu.

Leo Alhamisi, Yanga imeelekea visiwani Zanzibar kukamilisha maandalizi ya mchezo huo

NI DAMARO DAY...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
3h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’