Yanga safarini Ruangwa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Feb 2026
Yanga safarini Ruangwa

Kikosi cha Yanga kimeondoka jijini Dar es salaam leo Jumamosi kuelekea Ruangwa, Lindi tayari kwa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Namungo Fc utakaopigwa kesho Jumapili.

Yanga imeondoka Dar kwa ndege ya kukodi ambapo baada ya mchezo hapo kesho watarejea Dar kuwahi mechi nyingine dhidi ya JKT Tanzania itakayopigwa Jumatano, Februari 25 katika uwanja wa KMC Complex.

Msafara ulioelekea Ruangwa umejumuisha wachezaji 23, benchi la ufundi na baadhi ya viongozi.

Baada ya kuhitimisha majukumu ya Kimataifa, Yanga imerejea kikamilifu kwenye mashindano ya ndani malengo yakiwa kutetea mataji yote waliyotwaa msimu uliopita.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’