Buba atawapima umri mabeki na atafunga sana

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Feb 2026
Buba atawapima umri mabeki na atafunga sana

Jana kwa mara ya kwanza mashabiki wa Yanga walimshuhudia winga wao mpya Buba Jammeh akifungua akaunti ya mabao katika kikosi cha Wananchi akifunga mabao yote mawili kwenye ushindi wa 2-0 ambao Yanga waliupata dhidi ya Cosmopolitan ukiwa ni mchezo wa hatua ya 64 bora kombe la CRDB.

Winga huyo mwenye 'kasi ya kimbunga' amewakumbusha mashabiki wa Yanga nyota aliyewahi kutamba na Wananchi Tuisila Kisinda 'TK Master'.

Lakini mapema tu Buba ameonyesha utofauti wake na Kisinda ni kwenye ufanisi, akionekana kuwa na jicho la goli.

Buba aliwavuruga walinzi wa Cosmopolitan hasa kwenye kipindi cha kwanza, pengine alipaswa kuondoka na mpira mapema tu katika mchezo huo uliopigwa uwanja wa KMC Complex.

Nyota huyo amefanya mazoezi na Yanga kwa takribani wiki moja tu na tayari anaonekana atakuwa mchezaji muhimu kwenye kikosi cha kocha Pedro Goncalves.

Yanga ilimsajili Buba saa chache kabla ya dirisha dogo kufungwa mwezi Januari akiwa ni mbadala wa Celestin Ecua aliyepelekwa kwa mkopo JS Kabylie.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
23m ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
5h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
5h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
18h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
23h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’