Kiungo fundi Thabani Kamusoko leo ameungana na wachezaji wa Yanga walio kambini mkoani Morogoro katika maandalizi ya msimu mpya.
Kamusoko amefanya mazoezi mepesi leo asubuhi kabla ya kujumuika na wenzake ambao wengine wameingia siku ya sita leo.
Kuwasili kwa Kamusoko kumekamilisha idadi ya wachezaji waliokamilisha usajili katika kikosi cha Yanga msimu huu.

ADVERTISE HERE