Kikosi cha Yanga kimekamilisha maandalizi kuelekea mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya JS Kabylie ambao utapigwa kesho Jumapili katika uwanja wa New Amaan Complex.
Mtanange huo ni kama fainali Yanga ikihitaji ushindi ili kujiweka katika nafasi nzuri ya kutinga robo fainali.












ADVERTISE HERE