Kikosi cha Yanga kimeondoka jijini Dar es salaam mapema leo Alhamisi kuelekea Zanzibar kukamilisha maandalizi ya mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya JS Kabylie.
Mchezo huo wa kukamilisha raundi ya 6 kundi B, utapigwa Jumapili, Februari 15 saa 10 Alasiri.
Wananchi watakuwa na siku tatu za kujifua visiwani Zanzibar kabla ya kushuka dimbani siku ya Jumapili katika mchezo ambao Yangaitahitaji ushindi pekee.








ADVERTISE HERE