Droo ya hatua ya 64 bora kombe la Shirikisho la CRDB imefanyika leo ambapo mabingwa watetezi Yanga wataanza kampeni ya kutetea taji hilo kwa msimu wa tano mfululizo pale watakapoikabili Cosmopolitan.
Mchezo huo utapigwa kati ya Februari 17-19 katika uwanja wa KMC Complex.
Yanga inalishikilia taji la CRDB kwa misimu minne mfululizo, msimu huu Wananchi watakuwa wakilisaka taji hilo kwa msimu wa tano mfululizo.
Ni msimu mwingine wa kuweka rekodi mpya kwa Yanga
ADVERTISE HERE