Mazoezi ya kwanza Rabat

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Feb 2026
Mazoezi ya kwanza Rabat

Baada ya kutua Rabat, Morocco, hakuna muda wa kupoteza kwani jana Yanga ilianza maandalizi kuelekea mchezo dhidi ya AS FAR utakaopigwa Jumamosi.

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe amesema mazoezi ya kwanza yalikuwa maalum kwa ajili ya kuondoa uchovu wa safari ambapo leo wataendelea na program nyingine.

Hali ya hewa Morocco kwa sasa sio baridi kali kama ilivyokuwa wiki kadhaa zilizopita, bila shaka haitakuwa changamoto kwa wachezaji.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
23m ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
15h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
19h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’