Kikosi cha Yanga kimeondoka jijini Dar es salaam kuelekea Morocco tayari kwa mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya AS FAR utakaopigwa Jumamosi.
Yanga imeondoka na kikosi chake kamili kwenda kusaka ushindi Morocco.

ADVERTISE HERE