Matumani yamebaki kwa Yanga tu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Feb 2026
Matumani yamebaki kwa Yanga tu

Matumaini ya timu kutoka Tanzania kucheza robo fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa (CAFCL), yamebaki mikononi mwa Yanga baada ya Simba kutupwa nje kwenye michuano hiyo.

Matokeo ya sare ya mabao 2-2 waliyopata dhidi ya Esperance leo yamefuta rasmi ndoto yao ya kuwania tiketi ya robo fainali kwani hata wakishinda mechi mbili zilizobaki watafikisha alama 7 ambao Esperance na Petro Atletico wanaweza kuvuka.

Yanga imebaki na jukumu kubwa la kuisaka tiketi ya robo fainali ili kuendelea kupeperusha vyema bendera ya Tanzania katika ligi ya mabingwa msimu huu.

Mchezo unaofuata kwa Yanga ni dhidi ya AS FAR ukitarajiwa kupigwa Jumamosi, Februari 07 huko Morocco. Kama Yanga itashinda mchezo huu ugenini, Wananchi wanaweza kufuzu robo fainali mapema.

Wakati makundi ya CAFCL yalipopangwa, wengi waliipa Yanga nafasi ndogo ya kufanya vyema lakini mpaka sasa ni Yanga inayoonekana kubeba matumaini ya Tanzania.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
4h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
8h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
12h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’