Kikosi cha Yanga leo kimekamilisha maandalizi yake katika uwanja wa New Amaan Complex kuelekea mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Al Ahly.
Mchezo huo wa raundi ya nne kundi B, utapigwa kesho Jumamosi Januari 31 saa 10 jioni katika uwanja wa New Amaan Complex.
Wananchi wamehitimisha maandalizi yao katika dimba hilo litakalotumika hapo kesho, ambapo baadae wapinzani wao Al Ahly nao watafanya mazoezi katika uwanja huo.









ADVERTISE HERE