Chikola kutua Singida Black Stars

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 Jan 2026
Chikola kutua Singida Black Stars

Kiungo mshambuliaji wa Yanga Offen Chikola anatarajiwa kujiunga na klabu ya Singida Black Stars kwa mkopo.

Baada ya mwanzo wa kusuasua kwenye kikosi cha Yanga, nyota huyo ametolewa kwa mkopo ili apate muda zaidi wa kucheza.

Anakuwa mchezaji wa pili wa ndani kutolewa kwa mkopo kwenye dirisha hili baada ya Denis Nkane aliyetua TRA United.

Nyota wa kigeni ambao nao wako kwenye mpango wa kutolewa kwa mkopo ni Mohamed Doumbia na Ecua Celestin

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
3h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
11h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
15h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’