Baada ya utambulisho wake, mshambuliaji mpya wa Yanga Laurindo Dilson Maria Aurelio 'Depu' leo ameungana na wachezaji wenzake.
Yanga imerejea mazoezini kujiandaa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mashujaa Fc utakaopigwa Jumatatu, Januari 19 na kisha kusafiri Misri kuikabili Al Ahly Januari 23.








ADVERTISE HERE