Conte abadilishiwa majukumu Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Jan 2026
Conte abadilishiwa majukumu Yanga

Wakati hatma ya kiungo Moussa Balla Conte ikiwa mikononi mwa uongozi wa Yanga, Kocha Mkuu wa mabingwa hao wa Tanzania Bara Pedro Goncalves amembadilishia majukumu.

Katika michuano ya kombe la Mapinduzi inayoendelea visiwani Zanzibar, Goncalves anamtumia Conte eneo la beki wa kati.

Kwenye mchezo wa nusu fainali dhidi ya Singida BS, Conte alicheza kwa dakika zote 90 eneo la beki wa kati akishirikiana vyema na Frank Assink.

Goncalves alionekana kuvutiwa na umahiri wa Conte eneo hilo na pengine huenda akamtumia tena katika mchezo wa fainali dhidi ya Azam Fc.

Baada ya usajili wa Mohamed Damaro Camara, ni wazi nafasi ya Conte katika eneo la kiungo ni finyu huku kukiwa na taarifa uongozi umefanya mazungumzo nae ili atolewe kwa mkopo.

Hata hivyo kumekuwa na mvutano kwani Conte ametaka mkataba wake usitishwe ili aondoke akiwa mchezaji huru.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
11h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
15h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’