CAFCL : Al Ahly vs Yanga kupigwa Ijumaa, Januari 23

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Jan 2026
CAFCL : Al Ahly vs Yanga kupigwa Ijumaa, Januari 23

Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limethibitisha ratiba ya mechi za raundi ya tatu hatua ya makundi ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika (CAFCL).

Yanga iliyo kundi B pamoja na klabu za Al Ahly, AS FAR na JS Kabylie, Ijumaa ya Januari 23 itakuwa Misri kuumana na mabingwa wa kihistoria wa michuano hiyo Al Ahly.

Mchezo huo unatarajiwa kupigwa saa 1 usiku kwa saa za Tanzania. Timu hizo zitachuana tena wiki moja baadae visiwani Zanzibar.

Ni dakika 180 za jasho na damu kwa Yanga zinazoweza kuamua hatma ya Yanga kufuzu hatua ya robo fainali.

Yanga inahitaji kuchukua angalau alama tatu kutoka kwa wababe hao wa soka Afrika ili kujiweka katika mazingira mazuri ya kufuzu robo fainali.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
11m ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
3h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
8h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
8h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
12h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’