Mshambuliaji Prince Dube ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa Yanga wa mwezi Disemba 2025.
Dube ameondoka na tuzo hiyo inayodhaminiwa na NIC baada ya kun'gara katika mechi zilizochezwa Disemba.
Mwana Mfalme alifunga mabao mawili katika mechi dhidi ya Fountain Gate na Coastal Union

ADVERTISE HERE