Kikosi cha Yanga leo kimekamilisha maandalizi kuelekea mchezo wa kuhitimisha hatua ya makundi kombe la Mapinduzi dhidi ya TRA United.
Mchezo huo utapigwa kesho Jumanne, dimba la New Amaan Complex, visiwani Zanzibar.
Ushindi au matokeo ya sare yataihakikishia Yanga kutinga nusu fainali kukutana na Singida Black Stars.








ADVERTISE HERE