Huyu ni kiungo wa mpira,

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
31 Dec 2025
Huyu ni kiungo wa mpira,

Yanga imethibitisha usajili wake wa pili katika dirisha dogo ikimtangaza Mohamed Damaro Camara kuwa Mwananchi.

Camara ambaye kwa sasa ni raia wa Tanzania, anatua Yanga akitokea klabu ya Singida Black Stars.

Ni usajili wa kimkakati zaidi kwa Yanga wakimpata nyota huyo waliyemuhitaji kwa muda mrefu.

Camara anatua Yanga kuimarisha eneo la kiungo cha ukabaji.

Hii ni mali Wananchi...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
25m ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
5h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’