Yanga imethibitisha usajili wa mshambuliaji Emannuel Mwanengo (22) anayetua kutoka klabu ya TRA United.
Ni usajili uliokuwa ukisubiri utambulisho tu baada ya Yanga kukamilisha mapema.
Mwanengo anatarajiwa kuwa sehemu ya kikosi cha Yanga kinachoelekea Zanzibar kushiriki michuano ya kombe la Mapinduzi.



Karibu Jangwani Mwanengo....!
ADVERTISE HERE