Yanga inaondoka kesho Alhamisi, May 31 2018 kwenda nchini Kenya kushiriki mashindano ya SportPesa Super Cup ikiwa na kikosi chake kamili.
Msafara wa wachezaji 20 ukimjumuisha kiungo Papi Kabamba Tshishimbi utaondoka mapema kesho asubuhi tayari kwa michuano hiyo itakayoanza Juni 03.
Yanga inatarajiwa kushuka dimbani Juni 03 kuikabili KK HomeBoyz kwenye mchezo utakaopigwa katika dimba la Afraha, saa saba mchana.

ADVERTISE HERE