Kiungo wa Yanga Maxi Nzengeli leo amewasapraizi nyota wa Yanga Princess baada ya kuibuka kwenye mazoezi ya timu hiyo yanayoendelea uwanja wa KMC Complex.
Maxi alishiriki kikamilifu mazoezi na kinadada hao Wananchi wanaojiandaa na mechi zinazofuata ligi kuu ya Wanawake (WPL).
Ikumbukwe kikosi cha wanaume leo wameanza mpumziko ya sikukuu ya Christmas ambapo timu itarejea tena mazoezini Disemba 28







ADVERTISE HERE