Kikosi cha Yanga jana kimekamilisha wiki moja ya mazoezi makali chini ya kocha Patrick Mabedi kabla ya kuelekea kwenye mapumziko ya sikukuu ya Christmas.
Yanga inatarajiwa kurejea tena mazoezini Disemba 28 kwa ajili ya maandalizi ya kombe la Mapinduzi.











ADVERTISE HERE