Hersi uso kwa uso na Firminho

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Dec 2025
Hersi uso kwa uso na Firminho

Rais wa Yanga Injinia Hersi Said pichani akimkabidhi jezi nyota wa zamani wa Liverpool Roberto Firmino ambaye kwa sasa anaitumikia Al Sadd ya Qatar.

Hersi pia alikabidhiwa jezi nyota wa Qatar Akram Afif ambaye Baba yake Hassan Afif aliwahi kutamba kwenye soka la Tanzania miaka ya 90

Licha ya majukumu yake kama Rais wa Yanga na Mwenyekiti wa umoja wa klabu brani Afrika (ACA), Hersi ni shabiki mkubwa wa Liverpool.

Hersi yuko Qatar ambako ameshiriki kongamano la soka lililoandaliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu la Kimataifa (FIFA).

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
4h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
7h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
16h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
22h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’