Mikiki mikiki ya Ligi Kuu ya Wanawake (WPL) inaendelea leo ambapo kinadada wa Yanga Princess watakuwa wenyeji wa Alliance Fc katika mchezo utakaopigwa uwanja wa KMC Complex.
Hii ni mechi ya mzunguuko wa tatu Yanga Princess ikisaka ushindi wa tatu mfululizo baada ya kushinda mechi zote mbili zilizopita.
Msimu huu kinadada Wananchi wanautaka ubingwa hivyo kila mechi ni kama fainali.

ADVERTISE HERE