Mashabiki Yanga, Simba kuumana mechi ya watani

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Dec 2025
Mashabiki Yanga, Simba kuumana mechi ya watani

Katika kudumisha utani wa jadi kati ya klabu za Simba na Yanga, Jumapili Disemba 21 2025 mashabiki wa Simba na Yanga wataumana katika mechi itakayopigwa uwanja wa KMC Complex.

Mechi hiyo ni maalum katika kudumisha upendo na umoja baina ya mashabiki wa timu hizo kongwe na zenye mashabiki wengi zaidi nchini.

Mameneja wa klabu hizo Ahmed Ali (Simba) na Ali Kamwe (Yanga) ndio waliofanikisha mchezo huo maalum.

Kila mmoja atakuwa na jukumu la kukiandaa kikosi chake kuelekea mtanange huo.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5m ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
30m ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
39m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
4h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
19h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
22h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’