Hersi ashiriki Mkutano wa Kamati ya Mashindano FIFA

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Dec 2025
Hersi ashiriki Mkutano wa Kamati ya Mashindano FIFA

Rais wa Yanga na Mwenyekiti wa Shirikisho la Vilabu(ACA) na Mjumbe wa kamati ya mashindano ya vilabu FIFA, Injinia Hersi Said leo kwa mara ya kwanza ameshiriki Mkutano wa Kamati ya Mashindano ya FIFA.

Pichani Injinia Hersi akiwa picha ya pamoja na Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) Gianni Infantino, Rais wa TFF Wallace Karia na Makamu Mwenyekiti wa ACA Jessica Motaung kwenye mkutano huo uliofanyika Doha, Qatar.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’