Yanga Princess leo imeendeleza rekodi ya ushindi wa asilimia 100 kwnye ligi kuu ya Wanawake (WPL) ikiichapa Tausi Queens mabao 3-2 katika mchezo uliopigwa uwanja wa KMC Complex.
Princess waliotokea nyuma katika mchezo huo, walilazimika kusubiri dakika za jioooni kama walivyofanya kaka zao kule Dodoma kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Coastal Union.
Aregash Kalsa aliweka kambani mabao mawili huku Lydia Akoth akifunga bao jingini wakati mabao ya Tausi yakifungwa na Mwanahamisi Omary


ADVERTISE HERE