Huyu Assink ni mali

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Dec 2025
Huyu Assink ni mali

Mechi mbili zimetosha kumhakikishia nafasi kwenye kikosi cha Yanga beki wa kati Frank Assink anayewatumikia Wananchi kwa mkopo akitokea klabu ya Singida Black Stars.

Mkufunzi wa Yanga Pedro Goncalves alimpa nafasi Assink kwenye mechi mbili za ligi zilizopita dhidi ya Fountain Gate na Coastal Union akicheza dakika zote 90 kwenye kila mchezo.

Umahiri alioonyesha katika mechi hizo sio tu umemkosha Goncalves, hata mashabiki wa Yanga wameonyesha kufurahia kile walichoshuhudia kutoka kwake.

Ni wazi sasa Assink ataendelea kusalia na pengine benchi la ufundi litalazimika kupendekeza jina la nyota mwingine wa kigeni likatwe ili kumrejesha Yao Kouassi ambaye tayari yuko fit kwa asilimia 100 baada ya kupona majeraha.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
15h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
18h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
23h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’