Kikosi cha Yanga kimewasili mkoani Dodoma tayari kwa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Coastal Union ambao utapigwa kesho Jumapili katika uwanja wa Jamhuri.
Yanga iliondoka jijini Dar es salaam mapema leo ikitumia usafiri wa treni ya SGR.
Wananchi watakamilisha maandalizi yao ya mwisho katika uwanja wa Jamhuri jioni ya leo.




ADVERTISE HERE