Mchezo wa ligi kuu ya NBC kati ya Coastal Union dhidi ya Yanga umepangwa kupigwa uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma.
Bodi ya ligi imethibitisha kuwa mchezo huo utapgwa Jumapili Disemba 07, saa moja na robo usiku.
Coasta Union ambao ni wenyeji wa mchezo huo, wameupeleka mkoani Dodoma baada ya dimba la Mkwakwani kufungiwa
Kabla ya mchezo huo, kesho Alhamisi Yanga itashuka uwanja wa KMC Complex kuikabili Fountain Gate
ADVERTISE HERE