Klabu ya Yanga imekuwa mwanachama wa kwanza rasmi wa Jumuiya ya Vilabu vya Afrika (ACA) ambayo Mwenyekiti wake ni Injinia Hersi Said.
Mabingwa hao wa Tanzania wamekamilisha usajili wao na kuwa wanachama baada ya kulipa ada ya $1,000 sawa na 2.4m Tsh
ACA imehimiza vilabu vyote vya Ligi Kuu na Daraja la Kwanza kote barani Afrika kujiunga na kuwa sehemu ya mradi huo katika kukuza soka la vilabu barani Afrika.

ADVERTISE HERE