Kikosi cha Yanga kimewasili salama nchini Algeria kuelekea mchezo wa pili wa hatua ya makundi CAFCL dhidi ya JS Kabylie ambao utapigwa Ijumaa, Novemba 28.
Wananchi watakuwa na takribani siku tatu za kukamilisha maandalizi kabla ya mtanange huo ambao Wananchi wanakwenda kuwania alama nyingine tatu.





ADVERTISE HERE